Yerevan
From Wikipedia
Yerevan (pia: Erevan, Erivan; Kiarmenia: Երեւան au Երևան) ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Armenia. Idadi ya wakazi ni juu ya milioni moja (mwaka 2004). Iko kando la mto Hrazdan na kutazama mlima Ararat ambao ni mlima mtakatifu wa Waarmenia.
Mji ni wa kale ulianzishwa kama boma la Erevuni katika milki ya Urartu mnamo 782 KK.
Makala hiyo kuhusu "Yerevan" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Yerevan kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |