User talk:Matt Crypto
From Wikipedia
[edit] From Sj
I'm so glad to see you working on this edition :) Do you know anyone at unis in E.Africa? Sj 16:44, 13 Feb 2005 (UTC)
- Hi, thanks for the welcome, although my Swahili isn't nearly good enough to do any real contributions here myself (yet!). I don't have any university contacts in East Africa (I went to school in Nairobi, my parents still live in Naivasha, and my fiancee did some voluntary work in Iringa recently -- that's the extent of my East Africa links at the moment, I'm afraid). Matt Crypto 16:46, 15 Feb 2005 (UTC)
[edit] Sysophood
I'd like to make you a sysop here, if that's alright; perhaps we should set up a page for nomination? There are only two sysops around, neither of them very active. Sj 20:50, 22 Julai 2005 (UTC)
[edit] Sanduku la mchanga
I couldn't find a Sandbox here, so I made one by moving the "article" on Idadi to it. If you can set up a more normative workspace that would be fine. Or if I just don't see the Sandbox, feel free to transfer mine to it and delete the residue. --Lilendi 19:48, 16 Agosti 2005 (UTC)
[edit] Picha
Asante kwa ushauri kuhusu picha. Nachukua mara nyingi katika en-wiki. Wakati mwingine inaingia moja kwa moja, wakati mwingine inakataa. Nisaidie: kwa nini ni hivyo?. Halafu: Kuna njia kupeleka picha kutoka wiki nyingine kwenda Commons bila download/upload? ? --Kipala 21:33, 1 Februari 2006 (UTC)
[edit] Request for article
Greetings Matt Crypto!, Could you please help me translate this article into Swahili? (Just the "introduction" and "subtitles" would be fine). It is based on this English article. Your help would be appreciated (I am not sure if the Swahili title is correct) -- Regards, Joseph, 04:43 Sunday 12 Machi 2006 (UTC)
- Thanks a lot for your help Matt Crypto. I am immensely grateful. God bless you and may you prosper! -- Joseph, 21:31 Wednesday 26 Aprili 2006 (UTC)
[edit] Picha tena
Matt, "Beseni ya mto wa Pangani.JPG" nimetunga kwa sababu wenyewe wanasema "This publication may be produced in whole or part and in any form for education or non-profit uses, without special permission from the copyright holder, provided acknowledgement of the source is made." --- Je- hiyo haitoshi?? --Kipala 08:29, 13 Aprili 2006 (UTC)
- Ndiyo, haitoshi. Nasikitika kwamba kwa kutumia Wikipedia, ni lazima mtu anaweza kuitumia picha kwa faida ya kibiashara ("for-profit") pia [1]. Matt Crypto 10:35, 14 Aprili 2006 (UTC)
Halafu kuhusu "Picha bila maelezo ya hatimiliki" kuna ramani tatu za Tabora, Iringa na Bahari ya Shamu ambazo nimezitengeneza mwenyewe. Niandikaje? --Kipala 08:35, 13 Aprili 2006 (UTC)
- Ulianza na ramani hii na hii? Ukitengeneza picha moja inayotokana na picha nyingine, unahitaji ruhusa ya mshika wa hatimiliki wa picha ya asili. Kwa mfano, kuna ruhusa ikiwa picha ni chini ya leseni za GFDL au za Creative Commons fulani, au ni sehemu ya "miliki ya umma" (public domain). Matt Crypto 10:35, 14 Aprili 2006 (UTC)
Umefanya usafi kweli; sasa: Umefagia "Uhabeshi redirect Ethiopia". Nimeiweka kwa sababu inahitajika. Ni jina la kawaida kwa ajili ya Ethiopia hasa katika maandiko ya kidini kwa sababu Biblia inaitumia nadhani pia waandishi wa Kiislamu. Tuirudishe. --Kipala 08:35, 13 Aprili 2006 (UTC)
- Niwie radhi, nimekosa. Sasa sijui kwa nini nilifagia redirect hii! Matt Crypto 10:35, 14 Aprili 2006 (UTC)
[edit] Picha zimepotea
Nadhani umeshughulika picha kwenye makala "Pasaka ya Kiyahudi" -sasa hazionekani. Unaelewa tatizo ni lipi? --Kipala 10:23, 14 Aprili 2006 (UTC)
- Nilisogeza picha hiyo "Commons": ukitembelea makala "Pasaka ya Kiyahudi" tena, inaonekana? (Kwa mimi, inaonekana sasa.) Matt Crypto 10:41, 14 Aprili 2006 (UTC)
[edit] Infobox Country
Je unaweza kuingiza template ya "Infobox Country" katika sw.wiki? Labda kama "Sanduku la habari za nchi". Itawasaidia wote wanaotaka kutafsiri wakijua Kiingereza tu. --Kipala 21:10, 16 Aprili 2006 (UTC)
- Nimelinakili na nimeanza kulitafsiri sanduku hilo. Mfano wa Eritrea uko juu. Sijatafsiri kiingereza cha wikicode (kwa mfano time_zone_DST n.k.) kwa sababu kama hii mtu anaweza kunakili wikicode moja kwa moja kutoka Wikipedia ya Kiingereza (pia sijui maneno sahihi kutumia). Matt Crypto 20:07, 17 Aprili 2006 (UTC)
-
-
- Asante kwa kazi. Mimi nimeshatafsiri sanduku hilo mara kadhaa, nikichukua umbo lake kutoka de.wipedia. Tazama kwa mfano Jamhuri_ya_Kidemokrasia_ya_Kongo. Nina mashaka kama Eritrea ni mfano mzuri kwa sanduku la nchi lakini sina muda kuilinganisha na nchi nyingine sasa. Nitajaribu kesho. --Kipala 21:28, 17 Aprili 2006 (UTC)
-
-
-
-
- Nimebadili mfano wa Eritrea kwa DRC. Matt Crypto 21:37, 17 Aprili 2006 (UTC)
-
-
-
-
-
-
- Nimejaribu kutafsiri sehemu ya kwanza lakini nimeiacha nilipotambua sielewi GDP (JPT=jumla la pato la taifa) PPP ni nini (tazama ukurasa wangu). Naona fomu hii ni vigumu. Twende kwa kitu kilichorahisishwa. --Kipala 23:32, 17 Aprili 2006 (UTC)
-
-
-
[edit] Babu - category??
Nimeona sasa tu ya kwmaba "category" imetafsiriwa kwa "babu". Sidhani ya kwamba inafaa. Haieleweki. "Jamii" au "Kundi" ni sawa. Kamusi zote za TUKI hazina Babu kwa maana hiyo, iko katika Madan-Johnson tu. --Kipala 18:31, 19 Aprili 2006 (UTC)
- "Category" ilitafsiriwa na User:Marcos majuzi. Nimemwarifu pendekezo yako, na nimeanza mjadala MediaWiki talk:Category. Tuzungumze pale. Matt Crypto 19:54, 19 Aprili 2006 (UTC)
[edit] Falaki - Unajimu
Matt, naomba futa makala unajimu ukiweka maneno yake kwa falaki au badilisha jina kuwa falaki.Niliandika unajimu ingawa sikupenda neno kwa sababu unajimu ni zaidi utabiri kutokana na nyota lakini kamusi fulani ilikuwa ikitumia Unajimu - falaki ilinipita. --Kipala 18:19, 19 Aprili 2006 (UTC)
- Haya, nilisogeza makala Unajimu -> Falaki (halafu nilifuta redirect ya Unajimu). Matt Crypto 19:48, 19 Aprili 2006 (UTC)
[edit] Guinea ya ikweta
Matt crypto, ni metumia templeti uliounda, lakini ningiataka uangaliye hasa sanduku inayo husu, guinea-ikweta uniambiye hasa makosa kwa maelezo ya bikari au compass, north-kaska, south-kusi etc.
[edit] Jamii/Category
Matt, naona unafanya kazi kweli kufagia na kuratibu wiki yetu. Mimi mwenyewe baada ya kumaliza makala kwa kawaida sina raha tena kutafakari jamii n.k. Sasa nimeangalia mambo mawili: a) hatuna njia kubadilisha "Category" kusoma "Jamii" hata katika templeti tunamoandika?
- Nilichunguza jinsi kubadilisha Category kwa Jamii, na pia User, Talk, Image na kadhalika. Inawezekana, lakini inaelekea kwamba ni lazima tukubali maneno kwa hakika kabisa, halafu tuombe watungaji wa programu ya Wikipedia (developers) kuzibadilisha. Matt Crypto 08:53, 1 May 2006 (UTC)
b) Maziwa na mito inafaa kuwa jamii ndogo chini ya jiografia, au unaonaje? --Kipala 21:54, 28 Aprili 2006 (UTC)
- Nakubali, niliweka Category:Maziwa chini ya Category:Jiografia. Category:Mito imeshawekwa. Matt Crypto 08:53, 1 May 2006 (UTC)
[edit] Uharibifu ukurasa wa mwanzo!
Naomba angalia "Mwanzo" - sijui namna ya kuirudisha. --Kipala 20:25, 29 Aprili 2006 (UTC)
- Nimechelewa! Ikiwa kutakuwa mkasa mwingine, kurudisha insha ya zamani ubonyeze "historia", na chagua insha unayotaka, halafu bonyeza "hariri". Utoona ujumbe kama "ANGALIA: Unakuwa unahariri nakala ya zamani ya ukurasa huu. Ukiendelea kuihariri, mabadilisho yote yaliyofanywa tangu pale yatapotezwa". Ukibonyeza "weka ukurasa", itarudishwa. Matt Crypto 08:38, 1 May 2006 (UTC)
[edit] Gabon
Hey matt, Uliweza vipi kuweka ukurasa huo wa Gabon? Nilijaribu lakini nimeona wewe karekebisha. Nime weza kuweka nembo ('emblem'). Ningiataka kujua kosa ilikua ipi? yosef
[edit] [Mediawiki-i18n] Internationalisation news
- Halló Matt! We have started a new campaign to update the localization files. If you can help improuving the "{{int:Allmessages}}" – "System messages" files "LanguageSw.php" and "MessagesSw.php" to run the Swahili projects please log in at [2], change the interface to the language of your prefrence at [3], go to Betawiki:LanguageSw.php and MessagesSw.php at section "contact persons" and list your name. We can start with the new messages translated already and continue step by step.
- If you are on IRC please visit the channel #wikipedia-BiDi.
- For other "LanguageXx.php" and "MessagesXx.php" files please see Betawiki:category:Internationalization. Thanks in advance! Best regards Gangleri · T · m: Th · T 00:20, 14 May 2006 (UTC)
[edit] Taxobox
Salaam Matt, ChriKo aliomba tuwe na taxobox. Nimejaribu lakini lugha ya templeti imenishinda. Una nafasi ya kusaidia? Majaribio yangu:
Sanduku la uainishaji wa mimea
Template:Taxobox
Sanduku la uainishaji wa wanyama
Template:Taxobox
Menginevyo nimeangalia kamusi yangu ya kiswahili cha kisayansi:
himaya = regnum
faila = phylum
ngeli = classis
nusungeli = subclassis
nusungeli ya chini = infraclassis
oda ya juu = superordo
oda = ordo
nusu oda = subordo
familia ya juu = superfamilia
familia = familia
nusu familia = subfamily
jenasi = genus (Pole, jenera ni neno limeloswahilisaizewa kutoka "genera" ambayo ni wingi wa "genus" ChriKo 22:50, 30 May 2006 (UTC))
spishi = species
Ngazi zifutazo ama sijakuta ama kamusi haifuati muundo ya wazi kwa hiyo napendekeza:
„sub ...“ > nusu...
„infra..“ > nusu ... ya chini
super...“ > ... ya juu --Kipala 16:26, 30 May 2006 (UTC)
[edit] Templeti 2
Nimejaribu Infox:River / Template:Sanduku ya Mto lakini sijafaulu... --Kipala 18:46, 30 May 2006 (UTC)
- Mimi sasa nimezitunga templeti za sanduku hizi mbili: Template:Uainishaji na Template:Mto. Angalia karasa za majadiliano za templeti hizo kwa maelezo ya kuzitumia. Marcos 23:36, 30 May 2006 (UTC)
[edit] Congratutalions, and some questions
Hi Matt. I hope you understand English. Congratulations with the 1000 articles in Swahili! It's just great! It's probably the first encyclopedia in an original African language with more than 1000 articles, or?
I have been involved in Wikipedias in several other African languages, such as Bambara. I will be speaking about the Wikipedias I have been involved in. And I would be grateful if you could answer some questions. Also, any other remarks are welcome.
1. Where are you from? Where did you learn Swahili?
2. When did you hear about Wikipedia? And when about the Swahili Wikipedia? When did you start to contribute?
3. What do you think about the future of this project?
thanks, Guaka 20:37, 3 Agosti 2006 (UTC)
- Hi Guaka!
- 1) I'm from the UK. I lived in Kenya for six few years when I was growing up, and still manage to visit East Africa about once a year. I picked up a little Swahili when I lived in Kenya, but I've been trying to learn properly for the last couple of years. My Swahili isn't anywhere near good enough to write fresh articles, but I've got a fair bit of experience with MediaWiki and Wikipedia, and when I have time I try and help out here with more technical wiki aspects like templates, categories, translating the user interface etc.
- 2) I got involved in the English Wikipedia in March 2004, and the Swahili Wikipedia from 2005. I probably first heard about it from the Swahili article in en:.
- 3) It's very encouraging to have reached 1,000 articles. For a long time it was stuck with around a dozen actual articles of mediocre quality. We really need to have more African Swahili speakers involved with the project, but that may be a matter of waiting for more people to get online and to get faster connections. A Wikipedia edition needs a community of editors actively working and maintaining the project, but for that, a contributor needs a fairly decent connection to the Internet. Matt Crypto 17:35, 8 Agosti 2006 (UTC)
[edit] Format Problem
Matt, I send this problem to several of you admin people as most of you have been very kimya these days. Who can fix it? --Kipala 22:32, 13 Septemba 2006 (UTC)
-
- Hello Kipala. Now that you are back, I would like to draw your attention to something which I find difficult to explain in Swahili. Have you noticed that since a while the lines that separate the sections of the articles are visible inside the taxoboxes? This is not the case in other Wikipedias. Can this be fixed? ChriKo 21:42, 13 Septemba 2006 (UTC)
[edit] bureaucracy
After some lag, you are now a bureaucrat. Keep an eye on Wikipedia:Wakabidhi and any name change requests. Cheers, Sj 10:28, 29 Septemba 2006 (UTC)
[edit] Format problem persisting
Kindly have a look at Uswidi. Textbox country is being overwritten ba gallery. We had this before with taxoboxes and the inset windowa of templates like "mbegu". Any idea how to help? --172.173.123.124 19:51, 5 Oktoba 2006 (UTC)
[edit] Flagging two bots
You could give the bot flag towards two bots by using:
[edit] Linda Ukurasa: Mpira wa Miguu
Matt, tafadhali badilisha mpira wa miguu isihaririwe na watu ambao hawajajiandikisha. Kutoka ushauri wa Steward niliyeuliza huko Meta, "please see this page for more information on page protection. And here's a link to view the current protection level for Mpira wa miguu. Link." Asante, Malangali 12:21, 12 Desemba 2006 (UTC)
[edit] Re: Vandalism
Hi Matt, I'm copying this all from my usertalk page, in English so that the helpful folks from the English Wikipedia can help get this sorted out. We've got to get a system in place to stamp out the vandalism on sw wiki, or we'll find ourselves in a world of hurt. Malangali 22:44, 18 Desemba 2006 (UTC)
Please see this page for more information on page protection. And here's a link to view the current protection level for Mpira wa miguu. Link --Az1568 04:01, 12 Desemba 2006 (UTC)
- Since all your vandals on the page Mpira wa miguu are IP addresses, selecting "registered user only" will allow real users to make legitimate edits to the page but keep the IP spammers away. Also, check to see if the IPs are open proxies (en:open proxy). If they are, they may be indefinately blocked (m:WM:NOP).
- English WpA uses www.completewhois.com/rbl_lookup.htm to test for proxies. As an example, the first vandal to that page, User:69.74.139.149 is definately a proxy: www.completewhois.com/cgi-bin/rbl_lookup.cgi?query=69.74.139.149&display=webtable, likewise, so is User:80.75.0.253: www.completewhois.com/cgi2/rbl_lookup.cgi?query=80.75.0.253&display=webtable. Also check the IPs reputation on larger WMF wikis. For example User:83.143.18.69 has been blocked as an open proxy/zombie on the eN WpA: en:User talk:83.143.18.69. Similarly User:213.42.21.77 is definately block-worthy: www.completewhois.com/cgi2/rbl_lookup.cgi?query=213.42.21.77&display=webtable, User:81.21.176.10 is a Email and wiki SPAMmer: www.completewhois.com/cgi2/rbl_lookup.cgi?query=81.21.176.10&display=webtable , User:65.198.48.23 is evidently not a proxy, but has made repetitive robotic edits to other wikis. I'll try and remember to check back to this page, so you can ask questions here, or on my eN wikipedia talk page (en:User_talk:68.39.174.238). 68.39.174.238 03:53, 16 Desemba 2006 (UTC)
Ahh, I see someone else already copied this. Basically I just WHOISed all the IPs that have been SPAMming the articel on football here. If you want to leave me a talk, I'll get it fastest on the talk page for this IP addr. on eN wikipedia. Anyway, as above, I suggest blocking most of those IPs for being proxies that will only ever cause trouble. 68.39.174.238 10:46, 19 Desemba 2006 (UTC)
[edit] Salamu kutoka sw:wikipedia
Matt je bado uko hai upande wetu? Tunajisikia hatuna wakabidhi tena! --Kipala 21:13, 22 Januari 2007 (UTC)
- Nimerudi! Ninaweza kusaidia wapi? (Nitaanza na Wikipedia:Makala kwa ufutaji). Matt Crypto 22:44, 31 Januari 2007 (UTC)
- Umefufuka, kumbe!! Karibu tena. Makala ya "Mpira wa miguu" inahitaji kulindwa. Uhariri na mabadiliko kwa wenye anwani tu. --Kipala 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
- Halafu: Bots. Ukurasa wetu unajaa michango ya interwiki-bots. Ukipata nafasi labda angalia a) kama wote wameandikishwa kama bot, na b: je hatuwezi kupata nafasi ya kuangalia mabadiliko bila kuonyesha bot? (Labda hata kama hali ya kawaida? jinsi ilivyo kwenye wikipedia kubwa - huko bots hazionekana kwa kawaida lakini unaweza kubonyeza "onyesha mabadiliko ya bot") --Kipala 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
-
- Halafu: Sanduku la Nchi. Zimebadilika mara nyingi nikinakili kutoka en:wiki. Mistari kadhaa hazipo tena. Nafikiri kuna uwezekano kutengeneza mistari yenye amri kama "if" yaani zinaonyeshwa tu kama zipo na kama hazipo hazionekani. Nakuachia sasa sanduku la Myanmar jinsi ilivyo utaona tatizo chini kwenye "saa za eneo" - sanduku lako lina mstari usiotumika na mfano wangu inaweka kila kinachotafuta katika mabano. --Kipala 09:07, 1 Februari 2007 (UTC)
- Wamebadilisha wikicode kwenye sanduku la nchi la Wikipedia ya Kiingereza kutumia "if", kama ulivyosema. Ni lazima tunakili na tutafsiri sanduku tena. Nitaanza kazi mpya kesho, lakini nitajaribu kupata nafasi kutatua tatizo hilo. Matt Crypto 21:03, 4 Februari 2007 (UTC)
- Halafu: Sanduku la Nchi. Zimebadilika mara nyingi nikinakili kutoka en:wiki. Mistari kadhaa hazipo tena. Nafikiri kuna uwezekano kutengeneza mistari yenye amri kama "if" yaani zinaonyeshwa tu kama zipo na kama hazipo hazionekani. Nakuachia sasa sanduku la Myanmar jinsi ilivyo utaona tatizo chini kwenye "saa za eneo" - sanduku lako lina mstari usiotumika na mfano wangu inaweka kila kinachotafuta katika mabano. --Kipala 09:07, 1 Februari 2007 (UTC)
-
- Halafu: Bots. Ukurasa wetu unajaa michango ya interwiki-bots. Ukipata nafasi labda angalia a) kama wote wameandikishwa kama bot, na b: je hatuwezi kupata nafasi ya kuangalia mabadiliko bila kuonyesha bot? (Labda hata kama hali ya kawaida? jinsi ilivyo kwenye wikipedia kubwa - huko bots hazionekana kwa kawaida lakini unaweza kubonyeza "onyesha mabadiliko ya bot") --Kipala 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
- Umefufuka, kumbe!! Karibu tena. Makala ya "Mpira wa miguu" inahitaji kulindwa. Uhariri na mabadiliko kwa wenye anwani tu. --Kipala 08:53, 1 Februari 2007 (UTC)
-
-
-
-
-
-
- Sawa hii ni vizuri. Templeti yako imesaidia sana! Bila templeti hii nisingemaliza nchi nyingi hivi. Nikilinganisha wikipedia yetu na nyingi nyingine kwa mfano Kilatini naona ya kwamba mbegu zetu za nchi ni bora kwa sababu ya sanduku. Wengine wana sentensi moja mbili tu kama mbegu - kwetu unapata angalau sanduku yenye habari nyingi. --Kipala 22:12, 4 Februari 2007 (UTC)
-
-
-
-
-
-
- Asante kwa kurudi - karibu tena!!! Ulivyoweka "bot status" kwa User:Thijs!bot naomba uidhinishe pia "bot status" kwa User:Escarbot, User:JAnDbot na User:AmaraBot. Asante. --Oliver Stegen 09:11, 1 Februari 2007 (UTC)
- Nimefurahi sana kusaidia tena: nisamehe kwa ughaibu. Nimetekeleza mahitaji haya ila sanduku la nchi (nitalichunguza baadaye). Nimeanza Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa (kuhifadhi au kulinda?). Kutoka saa hii, kama vikaragosi vinahariri makala moja, haionekani katika orodha ya mabadilisho ya karibuni (natumaini!) isipokuwa unapobonyeza "fichua bots". Matt Crypto 13:32, 1 Februari 2007 (UTC)
-
-
-
- Asante kwa kazi nzuri. Kutoonekana kwa bots kunasaidia kwelikweli!! --Kipala 14:04, 3 Februari 2007 (UTC)
-
-
[edit] Request for Help
Greetings Matt Crypto!
lg:User:Kizito wishes to translate the Luganda Wikipedia interface system messages into his native language.
Can you kindly support his adminship application? Thanks for your help. --Jose77 22:54, 1 Februari 2007 (UTC)
- Sorry, I really only comment on adminship applications for people I know. Matt Crypto 20:32, 4 Februari 2007 (UTC)
[edit] Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?
Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "Msaada wa kuanzisha makala" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna tatizo lolote tukitaka kuruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? (Naomba jibu kwenye ukurasa Wikipedia:Jumuia) --Kipala 21:00, 27 Februari 2007 (UTC)
[edit] Akaunti za kikaragosi
Naomba uidhinishe akaunti ya kikaragosi kwa USer:MelancholieBot na User:VolkovBot. Asante! Tuko pamoja, --Oliver Stegen 07:57, 6 Machi 2007 (UTC)
- Nimefanya hivyo. Matt Crypto 06:36, 7 Machi 2007 (UTC)
Naomba uidhinishe akaunti ya kikaragosi kwa User:TXiKiBoT. Asante! --Oliver Stegen 13:06, 20 Machi 2007 (UTC)
[edit] Bado sanduku la nchi
Matt, naomba angalia Serbia. Kuna bado templeti hizi zisizofaa kwenye sanduku la nchi. Wasalaam --Kipala 22:15, 11 Machi 2007 (UTC)