Angola
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Virtus Unita Fortior, kumaanisha "Kuunganisha maadili kunaongeza nguvu" | |||||
Wimbo wa taifa: Angola Avante! (Kireno: Angola songa mbele!) |
|||||
Mji mkuu | Luanda |
||||
Mji mkubwa nchini | Luanda | ||||
Lugha rasmi | Kireno | ||||
Serikali
Kiongozi wa Nchi
Kiongozi wa Serikali |
Vyama vingi demokrasia José Eduardo dos Santos Fernando da Piedade Dias dos Santos |
||||
Uhuru Kutoka Ureno |
Novemba 11 1975 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,246,700 km² (22nd) - |
||||
Idadi ya watu - 2004 kadirio - ? sensa - Msongamano wa watu |
10,978,552 (71st) haiko 8.6/km² (213) |
||||
Fedha | Kwanza (AOA ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) - (UTC+1) |
||||
Intaneti TLD | .ao | ||||
Kodi ya simu | +244 |
Angola Ni nchi kusini ya kati ya bara Afrika inayopakana na Namibia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,na Zambia, na pia upande wa magharibi kuna pwani defu ya Bahari Atlantiki. Mkoa wa Cabinda umezungukwa na kupakana na Jamhuri ya Kongo. Angola yenyewe ni nchi tajiri kwa madini, mafuta na almasi ndiyo muhimu zaidi. Lakini nchi ni maskini kutokana na vita ya miaka 29; kwanza vita ya kupigania uhuru dhidi ya Ureno iliyofuatwa na vita ya wenyewe hadi 2002.
Nchi yenyewe hasa ni demokrasia na yajulikana kama Jamhuri ya Angola (Kireno: República de Angola, kwa kutamka. IPA: /ʁɛ.'pu.βli.kɐ dɨ ɐ̃.'ɣɔ.lɐ/).
Contents |
[edit] Asili na historia ya jina Angola
Jina Angola yatokana na lugha ya Bantu neno N’gola, ambayo ilikuwa jina ya kiongozi wa ufalme wa Kwimbundo karne ya 16, ambapo wakoloni Wareno walianza ukoloni eneo hii.
[edit] Siasa
Hadabu ya nchi Angola ni Virtus Unita Fortior, kumaanisha "umoja tupe nguvu"
[edit] Eneo za angola
Tako la Kifungu: Mikoa ya Angola, Munisipaa za Angola
Angola imegawa kwa mikoa 18 (províncias) na munisipaa 158 (municípios).
Mikoa ni:
|
|
|
Munisipaa: ona Munisipaa za Angola
[edit] Jiografia
Tako la kifungu: Jiografia ya Angola
[edit] Mikoa inayozungukwa na Eneo
[edit] Ona pia
- Orotha ya Nchi zilizo Uhuru
[edit] Stampu
- Orodha ya makosa kwa stampu za wakoloni wareno Angola 1912
- Orodha ya makosa kwa stampu za wakoloni wareno Angola 1914
- Orodha ya makosa kwa stampu za wakoloni wareno Angola 1921
- Orodha ya ndege kwa stampu za Angola
- Orodha ya watu kwa stampu za Angola
- Orodha ya waliozaliwa angola kwa stampu
- Orodha ya samaki kwa stampu
[edit] Kifungu wazowazo
- mawasiliano Angola
- Mambo ya kingeni Angola
- Orotha ya kampuni za Angola
- Jeshi ya Angola
- kundi ya Sonangol
- Usafirishaji Angola
- Wanamziki Angola
- Orotha ya waadishi kutoka Angola
- Associação de Escuteros de Angola
[edit] Uchambuzi
- maadishi mengi kutoka kifungu hichi yametoka kutoka kitabu cha wadadisi wa marekani cha mwaka 2000 na 2003 na pia kutoka kifungu cha idara ya mambo ya nnje, marekani.
[edit] Viungo via nnje
Template:Lango Template:Zinazohusika
[edit] Serikali
- Republic of Angolalango rasmi la serikali
- National Assembly of Angola makala rasmi(kwa kireno)
- [http://www.angola.org/ balozi wa angola Washington DC
[edit] Habari
- allAfrica - Angola - viungo via habari
- Angola Press -idara ya Taarifa na habari ya Angola (kwa kireno, kifaransa na kingereza)
- Angonoticias (kwa kireno) -lango la habari linalosifa angola
- Mangole (kwa kireno) - ya habari nchini angola na pia maelekezo ya makala kwa compyuta.
- Jornal de Angola (kwa kireno) - Gazeti yenye sifa Angola
[edit] Maoni
- BBC - Country profile: Angola
- CIA World Factbook - Angola
- US State Department - Angola includes Background Notes, Country Study and major reports
[edit] Radio & Muziki
[edit] maelekezo
- Columbia University Libraries - Angola directory category of the WWW-VL
- Open Directory Project - Angola directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Angola directory category
[edit] utalii
- Template:Wikisafiri
[edit] mambo mengine
Template:CPLP
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |