Lesotho
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Khotso, Pula, Nala (Kisotho: Amani, Nyesha, Baraka) |
|||||
Wimbo wa taifa: Lesotho Fatse La Bontata Rona | |||||
Mji mkuu | Maseru |
||||
Mji mkubwa nchini | Maseru | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Miliki
Waziri mkuu |
Letsie Watatu Pakalitha Mosisili |
||||
Independence kutoka Wiingereza |
Octoba 4, 1966 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
30,355 km² (137th) Negligible |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
1,867,035 1 (146) 1,861,959 61.5/km² (109) |
||||
Fedha | Maloti (LSL ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+2) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .ls | ||||
Kodi ya simu | +266 |
||||
1.) Jua: Kwamba ukadiri wa umma hasa umechukua jawabu ya watu wanaoaga dunia kwa sababu ya Ukimwi; hii yenyewe imeleta maisha pungufu, kuaga dunia kwa watoto wanaozaliwa na jumla ukuzi wa umma kupungua na mabadiliko ya usabaa wa umma kwa rika, kadiri ya wanawake na wanaumme kama kungiavyo tarajiwa. |
Ufalme wa Lesotho, au Lesoto, ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Ina wakazi milioni 1.8. Mji mkuu ni Maseru. Lesotho haina pwani la bahari yoyote. Eneo lake limo ndani ya eneo la Afrika Kusini pande zote. Wakati wa ukoloni ilijulikana kama Basutoland. Sasa ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Jina Lesotho lamaanisha ni eneo ya watu ambao waongea lugha ya Kisotho.
Contents |
[edit] Historia
Tako la Kifungu: Historia ya Lesotho
[edit] Siasa
Tako la kifungu: Siasa za Lesotho
.
[edit] Wilaya
Tako la kifungu: Wilaya ya Lesotho
Kwa usimamizi wa serikali, Lesotho imegawa kwa Wilaya 10, kilamoja ikiongozwa na Karani wa wilaya. Kila wilaya ina mji unaoitwa mji wa kambi (camptown).
|
|
[edit] Jiografia
Template:Tako
Ukweli wa Kijiografia ambao wajulikana zaidi kuhusu Lesotho, ni kwamba ni nchi iliozungukwa na Afrika ya kusini, na ni nchi pekee uhuru duniani ambayo iko juu ukwea mita zaidi ya 1,000 (3,300 ft). Eneo chini zaid ni mita 1,400 (4,593 ft), na zaid ya asilimia 80% ya nchi iko kwa ukwea mita 1,800 (5,900 ft).
[edit] Uchumi
Tako la Kifungu: Uchumi wa Lesotho
[edit] Ukimwi na Virusi vya Ukimwi
[edit] Wafanya kazi
[edit] Ulinzi
[edit] Mambo ya kigeni
[edit] Watu na Ukoo
Tako la kifungu: Watu wa Lesotho
[edit] Utamaduni
- Muziki wa Lesotho
- Orotha ya Waandishi kutoka Lesotho
[edit] Shauri kiwazowazo
- Mawasiliano Lesotho
- mambo ya Kigeni Lesotho
- Orotha ya kampuni za Basotho
- Jeshi ya Lesotho
- Chuo kikuu cha Lesotho
- Chuo kikuu cha Lesotho shule ya Kimataifa
- Usafirishaji Lesotho
- Wana skauti waLesotho
- Central Bank Of Lesotho Benki kuu ya Lesotho
[edit] Viungo via Nnje
Template:Lango Template:Viungo vinavyo husika
[edit] Serikali
- Lesotho Government Online makala maalum ya serikali
[edit] habari
- allAfrica - Lesotho taarifa ya habari ya Lesotho
- Haikona! Lesotho Daily News Blogmakala ya uandishi wa interneti
[edit] Uchambuzi
- BBC News - Country Profile: Lesotho(kuhusu Lesotho)
- CIA World Factbook - Lesotho(kitabu cha wadadisi wa marekani)
- Open Directory Project - Lesotho (Maelekezo ya Lesotho)
- US State Department - Lesotho (hii makala ya husu ustadi wa Lesotho na idara ya mabo ya kigeni ya Marekani)
[edit] Utalii
- Template:Wikisafari
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |