Maldivi
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Gavmii mi ekuverikan matii tibegen kuriime salaam "Twasalimu taifa letu kwa umoja" |
|||||
Mji mkuu | Malé |
||||
Mji mkubwa nchini | Malé | ||||
Lugha rasmi | Kidhivehi | ||||
Serikali
{{{leader_titles}}}
|
Jamhuri {{{leader_names}}} |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
26 Julai 1965 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
298 km² (ya 204) -- |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2006 sensa - Msongamano wa watu |
329,000 (ya 1761) 298,842 [1] 1,105/km² (ya 9) |
||||
Fedha | Rufiyaa (MVR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .mv | ||||
Kodi ya simu | +960 |
||||
1 Makadirio ya UM ya 2005. |
Maldivi ni nchi kwenye funguvisiwa vya Maldivi katika Bahari Hindi. Iko 700 km kusini - magharibi ya Sri Lanka. Kwa jumla kuna visiwa 1,192 islets na kati hivi takriban 200 hukaliwa na watu.
Hakuna uhakika juu ya maana ya asili ya jina lenyewe.
Mji mkuu ni Malé.
Maldivi ni nchi hatarini ya kupotea. Kimo cha juu cha nchi yake ni mita mbili pekee juu ya uwiano wa bahari. Kama mabadiliko ya hali ya hewa duniani italeta kupanda kwa uwiano wa bahari nchi hii itazama chini.
Makala hiyo kuhusu "Maldivi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Maldivi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |