Bahrain
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Bahrainona | |||||
Wimbo wa taifa: بحريننا (Bahrainona) "Bahrain yetu" |
|||||
Mji mkuu | Manama |
||||
Mji mkubwa nchini | Manama | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Hamad Bin Isa Al Khalifa Khalifah ibn Sulman Al Khalifah Salman Bin Hamad Al Khalifa |
||||
Uhuru tarehe |
15 Agosti 1971 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
665 km² (ya 189) 0 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
698,585a (ya 164) 987/km² (ya 10) |
||||
Fedha | Bahraini Dinar (BHD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .bh | ||||
Kodi ya simu | +973 |
||||
a Includes 235,108 non-nationals (July 2005 estimate). |
Bahrain (Kiarabu: مملكة البحرين Mamlakat al-Baḥrayn, Ufalme wa Bahrain) ni nchi ya visiwa na ufalme mdogo katika Ghuba ya Uajemi karibu na pwani la Saudi Arabia.
Nchi ni tajiri kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.
[edit] Jiografia
Bahrain iko upande wa mashariki wa Bara Arabu.
Eneo lake ni visiwa 33. Vikubwa kati ya hivi ni:
- Kisiwa kikuu cha Bahrain chenye urefu wa km 48 na upana wa km 16 kina 85% za eneo lote a ufalme ni mahali pa mji mkuu Manama. Kimeunganishwa kwa daraja na
- kisiwa cha Muharraq (chenye 18 km²) penye uwanja wa ndege.
- funguvisiwa ya Hawar (50 km²) karibu na pwani la Qatar.
- kisiwa cha Umm Na'san (19 km²) kisicho na wakazi wa kudumu kwa sababu hakina maji; barabara inayounganisha Bahrain na Saudia kwa njia ya daraja inapita hapo.
- kisiwa cha Sitra (10 km²) kimeunganishwa pia kwa daraja na kisiwa kikuu pana viwanda hapo.
Nchi ni tambarare; kilima cha juu ni Jabal ad-Dukhan chenye m 137 juu ya UB.
Sehemu kubwa ya eneo ni jangwa u lakini kaskazini ya kisiwa kikuu pana visima na kilimo cha bustani na mitende.
[edit] Uchumi
Uchumi wa Bahrain hutegemea hasa mafuta ya petroli yanayozalisha 30% ya pato la taifa na 60% za mapato yote ya serikali. Serikali imejitahidi kujenga matawi mengine ya uchumi hasa viwanda vinavyotumia mafuta kwa kutengeneza bidhaa za aina nyingi pamoja na biashara.
Makala hiyo kuhusu "Bahrain" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bahrain kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |