Saudia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: لا إله إلا الله محمد رسول الله(Kiarabu) Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi "Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah" |
|||||
Wimbo wa taifa: ash al malik ("Asifiwe mfalme") | |||||
Mji mkuu | Riyad |
||||
Mji mkubwa nchini | Riyad | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Mfalme
Mfalme Mteule |
Ufalme Abdullah bin Abdulaziz wa Saudia Sultan bin Abdul Aziz wa Saudia |
||||
Kuanzishwa Ilitangazwa Ilitambuliwa Iliunganishwa |
8 Januari 1926 20 Mei 1927 23 Septemba 1932 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,149,690 km² (ya 14) kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
27,019,7311 (ya 46 2) 11/km² (ya 205) |
||||
Fedha | Riyal (SAR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) +3 (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .sa | ||||
Kodi ya simu | +966 |
||||
1 Kadirio la jumla ya wakazi pamoja na watu 5,576,076 wasio wazalendo |
Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu. Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen. Kuna pwani la Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi.
Mara nyingi inaitwa "al-haramain" yaani nchi ya mahali patakatifu pawili kwa kumaanisha miji ya Makka na Madina na Jeddah ambayo ni patakatifu pa Uislamu.
Jina la nchi limefuata familia ya watawala wa familia ya Saud.
Makala hiyo kuhusu "Saudia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Saudia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |