Omani
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: (hakuna) | |||||
Wimbo wa taifa: Nashid as-Salaam as-Sultani | |||||
Mji mkuu | Maskat |
||||
Mji mkubwa nchini | Muskat | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali
Sultani
|
Ufalme Qaboos bin Said Al Said |
||||
{{{sovereignty_type}}} Waosmani kufukuzwa |
1741 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
309,500 km² (ya 70) (kidogo sana) |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
2,567,0001 (ya 140) 8.3/km² (ya 211) |
||||
Fedha | Rial (OMR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+4) (UTC+4) |
||||
Intaneti TLD | .om | ||||
Kodi ya simu | +968 |
||||
1Ndani ya idadi ya wakazi kuna watu 577,293 wasio raia |
Usultani wa Omani (Kiarabu:سلطنة عُمان Saltanat ˤUmān) ni nchi ya Bara Arabu katika Asika ya Magharibi. Imepakana na Maungano ya Falme za Kiarabu, Saudia na Yemen, halafu Bahari Hindi na Ghuba ya Omani.
Utawala wa nchi hufuata muundo wa kifalme isiyobanwa na masharti ya katiba. Mji Mkuu ni Maskat (Omani).
[edit] Historia
Omani ilikuwa kituo muhimu cha biashara kwenye Bahari Hindi na Ghuba ya Uajemi tangu milenia mbili KK. Tangu kuja kwa Uislamu Omani ilikuwa ama chini ya Uajemi au chini ya khalifa wa Baghdad na baadaye Dola la Seljuki.
Kati ya 1507 hadi 1650 mji wa Maskat na pwani la Omani lilitawaliwa na Ureno. Makabila ya bara yaliunganika chini ya maimamu wa dhehebu la kiislamu la Waibadiya na Imam Nasir ibn Murshid († 1649) alifaulu kupunguza neo la Wareno. Mfuasi wake Sultan ibn Saif aliwafukuzwa Wareno kabisa na kushambulia vituo vyao kwneye pwani la Afrika ya Mashariki.
Masultani wa Omani walitawala pwani la Afrika ya Mashariki katika karne ya 19. Mwaka 1830 Sultani Sayyid Said alihamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja mji wa Zanzibar (Unguja). Baada ya kifo chake mwaka 1856 dola liligawiwa kuwa nchi mbili:
- Usultani wa Omani
- Usultani wa Zanzibar
Makala hiyo kuhusu "Omani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Omani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |